Unajua wamesupp wangap mweacau ..................
wamfaulu wangap ?????????????????
haya yote ni hapa hap clash P.........2016.......
INASEMEKANA matokeo ni mazur kwa wachache ambapo ina pelekea hata wale walofaulu wajione wamefely sana
imetangazwa kua ni 87.97% tu ndo wamefaulu ikilinganiwa na pre...sem... 95.74%
ivo ufaulu umeshuka kwa 7.77%
hili likitangazwa kua ni anguko kubwa sana
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni