Chapisho Lililoangaziwa

DOPPLER LIFE

Yajue maisha halisi ya DR DOPPLER NI...........

Jumanne, 30 Agosti 2016


ILIVYO KUA NDANI YA CCM JE ....................UKUTA ITAKUAJE LEO???????????????????

http://jumamkiwa.blogspot.com/2016/08/doppler-blog-uvccm-wamtii-jpmbado-ukuta_30.html

LOWASSA ASEMA NENO......

Msikilize....hapo








WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametoa waraka akisema kitendo cha askari wa Jeshi la Polisi kuwakamata wakati wakiwa kwenye kikao cha ndani cha Chadema jana  kimemuimarisha na kumpa nguvu zaidi ya kudai demokrasia.

Katika waraka wake kwa vyombo vya habari leo, Lowassa amesema anafurahishwa na kutiwa moyo na jinsi Watanzania walivyoipokea operesheni yao ya Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (Ukuta) iliyopangwa kuanza kesho kwa maandamano na mikutano, lakini vitendo vya polisi vinawapa wasiwasi wananchi.

Lowassa, akiwa na Freeman Mbowe, ambaye ni mwenyekiti wa Chadema, John Mnyika (naibu katibu mkuu-Bara) na viongozi wengine wa chama hicho kikuu cha upinzani walikamatwa jana wakiwa kwenye kikao cha ndani kilichofanyika Hoteli ya Girrafe na baadaye kwenda kituo kikuu cha polisi kwa mahojiano kabla ya kuachiwa na kutakiwa kwenda kituo hapo kesho.

MJUE HUYU

JUMA MKIWA 















kiserikali anjulikan kam JUMA MKENYE 
kifamilia .............JUMA A. MKIWA 
jamaa na marafiki ...........DR.DOPPLER
....
alizaliwa Kijiji cha KIBUSE
Akount ya NAKURU
JIJINI   MOMBASA
ana takriban umri wa miaka 25
dini............YOYOTE/ZOTE

shule alizosoma ni;
IRUGWA P/S
NAKASAHENGE P/S
NAMAGONDO S/S
MWISENGE S/S
KWIRO S/S

elimu ya chuo kikuu
St.Joseph University in TZ 
Mwenge Catholic University 

Hajaoa 
ana mtoto 1 
wa kike JESCA JUMA 

mikoa aliowahi kufika ni 
DAR ES SALAAM 
MOROGORO
DODOMA
TANGA
MBEYA
ARUSHA
KILIMANJARO
SINGIDA
KIGOMA
TABORA 
SHINYANGA
IRINGA
MWANZA
KAGERA
MARA
GEITA
MANYARA


 




ana penda kuskiliza & kutiza  muziki,
kuimba, kudance, kushake, kudag,kuchora ,FOOTBALL
basket.......n.k



cont;
0756547078-whatsapp
0658083918-whatsapp
www.fb.com/juma mkiwa
www.insta.com/JUMA MKIWA
www.twit.com/jumamkiwa1992@gmail.co
Jumamkiwa@yahoo.com


www.jumamkiwa.blogspot.com
 

DOPPLER THE BLOG..: FULL HAPPY....................

DOPPLER THE BLOG..: FULL HAPPY....................:  waoooo................... Hallooo....Guyz well.....well....well   come MR....&...MISS Hii ni blog yangu mpya pleaz like and shai...

BREAKING NEWS

Unajua wamesupp wangap mweacau ..................
wamfaulu wangap ?????????????????
haya yote ni hapa hap clash P.........2016.......



INASEMEKANA matokeo ni mazur kwa wachache ambapo ina pelekea hata wale walofaulu wajione wamefely sana 
imetangazwa kua ni 87.97% tu ndo wamefaulu ikilinganiwa na pre...sem... 95.74%
ivo ufaulu umeshuka kwa 7.77%
hili likitangazwa kua ni anguko kubwa sana 

 

DOPPLER LIFE

Yajue maisha halisi ya DR DOPPLER


NI...........

MWECAU SECOND SEM RESULT ..............NOW ON................

sasa unaweza kuangalia matokeao yako yako ya second semista 

kwa wale wa kuaapill muda ndo huuu 
ila cio nzur 
ni vema ukasapue tuuuu
ila kuna maticha kama .................
nenda tuuu ukaapill

afu kwa wale ambao hayja onekana kwa sababu mbalimbali mf. ada  n.k